Kimaa (Vietnam)

Kimaa ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wamaa. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kimaa imehesabiwa kuwa watu 33,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimaa iko katika kundi la Kibahnariki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy